Mkutano wa 3 wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira

Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana ambaye aliwakilisha Serikali ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa 3 wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira akiwa katika Mkutano huo jijini Nairobi-Kenya kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Magdalena Mtenga